Tangazo la Ajira

Nafasi za Ajira: Walinzi 100

HKB Protection & Management Company Limited inawakaribisha Watanzania wenye nia ya kazi ya ulinzi kuomba nafasi 100 za walinzi kwa mwaka huu.

Dar es Salaam Dodoma Morogoro

Sifa za Walinzi

  • Awe raia wa Tanzania kwa kufuata sheria za nchi.
  • Awe na umri kati ya miaka 18 hadi 40.
  • Amepita mafunzo ya JKU, JKT au Mgambo.
  • Awe na elimu kuanzia darasa la saba na kuendelea.
  • Awe na tabia njema na hana kesi za jinai.
  • Awe na afya njema (hana ugonjwa unaomzuia kufanya kazi).

Viambatanisho

  1. 1Barua ya maombi ya kazi (PDF, chini ya MB 2)
  2. 2Vyeti vya taaluma
  3. 3CV (Wasifu wa muombaji)
  4. 4Kitambulisho cha mdhamini (wawili)
  5. 5Hati ya afya njema
  6. 6Hati ya tabia njema

Kila kiambatanisho kisichozidi MB 2. Barua ya maombi lazima iwe faili ya PDF.

Wasiliana Nasi

S.L.P. 42500, Temeke – Dar es SalaamFuatilia ramani (Google Maps)

Au fika moja kwa moja ofisini iliyo S.L.P. 42500, Temeke – Dar es Salaam — Jumatatu hadi Jumamosi, saa 1:00 asubuhi hadi saa 11 jioni.

Fomu ya Maombi ya Kazi

Jaza taarifa zako zote chini. Sehemu zenye alama ya * ni lazima.

Viambatanisho *

Pakia kila faili. Kila faili uwe MB 2 au chini (barua ya maombi lazima iwe PDF).

Kwa maswali piga: 0759789196 au 0756006679